Picha 3 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na
Shaban Kado
Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari
miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa
Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui
FC na chanzo ni airi la nyuma kuchomoka.
Kwenye interview nilitoifanya Kado amesema
hakuna yeyote aliyepoteza maisha isipokua
majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado
ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo
walikua watu wanne ndani ya gari.
Jumatatu, 29 Juni 2015
Picha 3 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni airi la nyuma kuchomoka. Kwenye interview nilitoifanya Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha isipokua majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni